Tanzania 公开
[search 0]
更多
Download the App!
show episodes
 
Loading …
show series
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumzia kuhusu masuala ya matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwenye Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia.…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2025.…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa halfa ya chakula cha mchana pamoja na washiriki wa zoezi la uokoaji wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa eneo la Kariakoo leo tarehe 30 Januari, 2025 Ikulu Jijini Dar es Salaam.由Ikulu Mawasiliano
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala ya Nishati katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2025.由Ikulu Mawasiliano
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya kushiriki Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao uliandaliwa na Taasisi ya World Food Foundation katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024. Mkutano huo unaowakutanisha wadau mbal…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakati akihitimisha Kilele cha Mbio za Mwenge ambazo kitaifa zimefanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba tarehe 14 Oktoba, 2024.由Ikulu Mawasiliano
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa kitongoji cha Sokoine wakati wa zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.由Ikulu Mawasiliano
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakati kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya Kikazi tarehe 06 Agosti, 2024.由Ikulu Mawasiliano
  continue reading
 
How does one transform from a junior officer to a recognized leader? Our special guest recounts their inspiring journey, expressing heartfelt gratitude to the remarkable people and supporters who have been pivotal along the way. Hear personal acknowledgments to Mama Mkapa and the National Council, and uncover the power of collaboration and dedicati…
  continue reading
 
What if the key to battling RNA viruses and ensuring community growth lies in legal and educational reforms? In this episode, we dive deep into a conversation with the Minister of Health and other influential figures who have been pivotal in pushing forward critical initiatives. We discuss the incredible progress being made in public health, the es…
  continue reading
 
Prepare to unlock the economic treasure chest that is Tanzania, as His Excellency Jebnet Ilmaz, Vice President of the Republic of Turkey, shares an enlightening perspective on the rich partnership blooming between Tanzania and Turkey. If you're curious about the profound impact of international cooperation on business and society, this episode is y…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Jukwaa la Nne la ‘The Citizen Rising Woman' sanjari na Mazungumzo “Fireside Chat” katika kuadhimisha Miaka mitatu ya Uongozi wake lililofanyika katika Ukumbi wa Super Dome - Masaki jijini Dar es Salaam tarehe 08 Machi, 2024由Ikulu Mawasiliano
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Jukwaa la Nne la ‘The Citizen Rising Woman' sanjari na Mazungumzo “Fireside Chat” katika kuadhimisha Miaka mitatu ya Uongozi wake lililofanyika katika Ukumbi wa Super Dome - Masaki jijini Dar es Salaam tarehe 08 Machi, 2024由Ikulu Mawasiliano
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar tarehe 02 Machi 2024由Ikulu Mawasiliano
  continue reading
 
Loading …

快速参考指南

边探索边听这个节目
播放