Maarifa ya ki-Mungu na namna ya kuliishi kusudi lako
…
continue reading
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. 2 Bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku. 3 Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki;…
…
continue reading
1. Maombi ya kufunga yanaweza kukufanya uongezeke kiimani. Mathayo 17:21 ‘’ [Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.] ‘’ 2. Macho yako ya ndani yatakuwa yanaona vizuri. Zaburi 119:18 ‘’ Unifumbue macho yangu niyatazame Maajabu yatokayo katika sheria yako. ‘’ . 3. Mwili wako utakuwa umetiishwa. Wakolosai 3:5 ‘’ Basi, vifisheni viungo vye…
…
continue reading
Maisha Mapya Katika Kristo 1 Kwa hiyo, ndugu zangu, nawasihi kwa rehema zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu na inayompendeza Mungu, hii ndiyo ibada yenu yenye maana. 2Msifuatishe tena mfano wa ulimwengu huu, bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu. Ndipo mtaweza kuonja na kuhakikisha ni nini mapenzi ya Mungu yaliyo mema, y…
…
continue reading
1 Kor 16:9 kwa maana nimefunguliwa mlango mkubwa wa kufaa sana, na wako wengi wanipingao. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
Mistari mbalimbali ambayo Mungu amezungumza nasi katika maandiko kwenye Biblia,kuhusu kutokuogopa "USIOGOPE" --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
JIFUNZE MAARIFA MBALIMBALI YA KIMUNGU KUPITIA PLATFORM ZA SIRI ZA BIBLIA. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
YESU KARIBU ANARUDI --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
KUJIWEKA WAKFU UPYA MBELE ZA MUNGU NA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE WA MANA MINISTRY --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
Maana halisi ya kuokoka --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
SAA YA WOKOVU NI SASA --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
MUNGU ASIPOKUJIBU MAOMBI YAKO MUULIZE KWANINI: MWAKASEGE --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
maroho yaliyo ndani ya wote wanaotazama picha chafu za ngono/ukombozi upo bado --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
MAOMBI YA KUVUNJA MAAGANO NA MIKATABA YA KUZIMU --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
FAIDA 13 ZA MAOMBI YA USIKU --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
Maarifa ya kiMungu --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
Jifunze neno la Mungu katika maisha yako --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
MAMBO MUHIMU YANAYOUNDA MADHABAHU Mungu wa madhabahu Kuhani wa madhabahu Washirika wa madhabahu Kafara ya madhabahu Nguvu ya madhabahu --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
28 Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki. 29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. 30 Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka; 31 bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama …
…
continue reading
Ndoto kwa kawaida ya wanaadamu katika ulimwengu wa mwili ni mambo unaunayoyaona wakati umelala mara nyingi ndoto utaota wakati umelala Aina za ndoto kwa tafsiri za ulimwengu wa kimwili - Ndoto unaota kwa sababu umechoka sana mara nyingi ukiota hivyo watu na wewe mwenyewe unasema kua ni ndoto tu kwa sababu ni uchovu - Ndoto unaota kwa sababu una maw…
…
continue reading
Kuokoka ni jambo la lazima sana kwa kila anayehitaji uzima wa milele. Kuokoka kuanza na kumpokea YESU KRISTO kama Mwokozi kisha unaishi ukilitii Neno la MUNGU. Kwanini ni muhimu sana kuokoka? Biblia inasema baada ya kifo hukumu. Waebrania 9:27 ''Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;'' Anayetenda dhambi akifa na dh…
…
continue reading
Yesu akasema hivi katika Mathayo 6:12; mnaposali semeni hivi, ...utusamehe deni zetu kama nasi tuwasamehevyo wadeni wetu.... Maandiko yanachomaanisha ni kwamba, ukiwa huna desturi ya kuwasamehe, hata wewe Mungu wa mbinguni hatakusamehe kabisa hata ukitubu kwa machozi ya damu. Kama yumkini unasamehe kwa kiasi, nawe dhambi zako husamehewa kiasi. Mat …
…
continue reading
MWAKASEGE:SHETANI ANAVYOTUMIA AKILI KUVURUGA MAISHA YA MTU --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
MWAKASEGE: FAIDA ZA KUPOKEA UPAKO WA MFALME WAKATI WA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
MWAKASEGE: MISINGI YA UCHUMI WAKO INAHITAJI KUTENGENEZWA NA DAMU YA YESU website:www.sirizabiblia.com +255 758 708 804 whatssap only --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
FAIDA ZA IMANI UNAYOITUMIA KATIKA KUTOA SADAKA-MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE www.sirizabiblia.com +255 758 708 804 --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
Baada ya vita ya 1948-1949 nchi jirani zilikataa kutambua dola la Israeli. Hali ya vita ikaendelea ingawa bila mapigano kati ya majeshi makubwa. Wanamgambo wa Wafedayin Wapalestina waliendelea kuvuka mpaka kutoka makambi ya wakimbizi na kushambulia vijiji vya Kiyahudi. Wanamgambo hao walipata mara nyingi silaha na mafunzo kutoka kwa majeshi ya Misr…
…
continue reading
Katika karne ya 19 idadi kubwa ya Wayahudi waliishi katika maeneo kadhaa ya Milki ya Urusi yaliyotwaliwa na milki hiyo mnamo 1800. Uadui dhidi ya Wayahudi ulitokea katika utawala wa Kirusi. Kuanzia mwaka 1880 kulitokea ghasia mbalimbali ambako Wayahudi walishambuliwa katika miji ya Urusi. Wimbi la pili la ghasia hizo zilizoitwa pogromu zilikatokea …
…
continue reading
Inapatikana youtube,fuatilia https://youtu.be/4SslFrfEGCg --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
inapatikana youtube,fuatilia https://youtu.be/4SslFrfEGCg --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
inapatikana youtube https://youtu.be/4SslFrfEGCg --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
Simulizi nzito zenye mikasa ya kufundisha na kukuza imani zetu kwa Mungu.Inapatikana youtube pia,andika siri za biblia ujifunze zaidi --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
Amri Kumi Amri Kumi ni orodha ya amri kuu za Mungu katika Biblia. Za kwanza zinamhusu Mwenyezi Mungu mwenyewe, na zile zinazofuata mpaka mwisho zinahusu jirani, yaani binadamu wengine kuanzia wazazi. Toleo la awali linapatikana katika kitabu cha Kutoka 20:1-17. Toleo la pili liko katika Kumbukumbu la Torati 5:1-21. Amri hizi ni sehemu ya Torati ya …
…
continue reading
Mathayo 25 1 Ndipo ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi. 2 Watano wao walikuwa wapumbavu, na watano wenye busara. 3 Wale waliokuwa wapumbavu walizitwaa taa zao, wasitwae na mafuta pamoja nao; 4 bali wale wenye busara walitwaa mafuta katika vyombo vyao pamoja na taa zao. 5 Hata bwa…
…
continue reading
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijua… Siri za bibilia leo tuna muongozo ambao utakusaidia au itasaidia familia yako. Biblia inapozungumza habari ya watu waliofungwa wapate kufunguliwa, hii ina maana ya kuwa kuna watu wamefungwa chini ya utawala wa nguvu za giza katika ulimwengu wa Roho. Watu hawa…
…
continue reading
Mathayo 24 1 Yesu akaenda zake, akatoka hekaluni; wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonyesha majengo ya hekalu. 2 Naye akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa. 3 Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mamb…
…
continue reading
Mathayo 23 1 Kisha Yesu akawaambia makutano na wanafunzi wake, akasema, 2 Waandishi na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa; 3 basi, yo yote watakayowaambia, myashike na kuyatenda; lakini kwa mfano wa matendo yao, msitende; maana wao hunena lakini hawatendi. 4 Wao hufunga mizigo mizito na kuwatwika watu mabegani mwao; wasitake wenyewe kuigusa k…
…
continue reading
MAMBO MUHIMU YANAYOUNDA MADHABAHU Ili uweze kushughulikia tatizo sugu lililoshikiliwa kwenye madhabahu ni lazima ufahamu vizuri kuwa madhabahu sio jina pekee bali ni muunganiko wa mambo sita (6) ambayo hayo yanafanya madhabahu kuwepo na kuwa na nguvu, mambo hayo ni kama yafuatayo:- Madhabahu yenyewe Kuhani wa madhabahu Kafara ya madhabahu Washirika…
…
continue reading
Kumekuwa na mitazamo mingi ya tofauti tofauti ya namna ya kushughulikia matatizo sugu ambayo yamewakabili watoto wa Mungu kwa muda mrefu sana. Kuna watu wametaka kutoka katika umasikini kwa muda mrefu lakini hawajatoka mpaka sasa na hawajui tatizo limekaa wapi, wengine wametaka kutoka katika matatizo ya ndoa, wengine wametaka kuoa au kuolewa lakini…
…
continue reading
Mwa 6:5-9:17 inatufundisha kwamba Mungu anachukizwa na dhambi, hivyo anataka kuondoa maovu duniani ili nchi impendeze kama alivyokusudia alipoiumba. Kwa ajili hiyo zamani za Nuhu alileta maji yafunike dunia na kuzamisha waovu. Lakini alisalimisha waadilifu katika safina kubwa ya kutosha, halafu akafunga nao agano thabiti (Eb 11:7). Kadiri ya Mtume …
…
continue reading
SOMO: MAJITU (WANEFILI). ASILI YA MAJITU - WANEFILI NI KUTOKA WAPI ? NI WAJUMBE WA SHETANI WANAOJIINGIZA KATIKA KUSANYIKO AU USHIRIKA WA WANA WA MUNGU! 1. MAANA YA MAJITU. a. NI MAGUGU YALIYOPANDWA NA IBILISI KATIKA SHAMBA LA MUNGU (ULIMWENGUNI)? Mathayo 13: 24 Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda MBEGU…
…
continue reading
SOMO: MAJITU (WANEFILI). ASILI YA MAJITU - WANEFILI NI KUTOKA WAPI ? NI WAJUMBE WA SHETANI WANAOJIINGIZA KATIKA KUSANYIKO AU USHIRIKA WA WANA WA MUNGU! 1. MAANA YA MAJITU. a. NI MAGUGU YALIYOPANDWA NA IBILISI KATIKA SHAMBA LA MUNGU (ULIMWENGUNI)? Mathayo 13: 24 Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda MBEGU…
…
continue reading
1
CHRISTOPHER MWAKASEGE: WITO WA KUOMBEA MBEGU ZA MABADILIKO YA MSIMU MPYA KATIKA MIFUMO YA ULIMWENGU PART 2
43:04
CHRISTOPHER MWAKASEGE: WITO WA KUOMBEA MBEGU ZA MABADILIKO YA MSIMU MPYA KATIKA MIFUMO YA ULIMWENGU --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
1
CHRISTOPHER MWAKASEGE: WITO WA KUOMBEA MBEGU ZA MABADILIKO YA MSIMU MPYA KATIKA MIFUMO YA ULIMWENGU PART 1
41:54
CHRISTOPHER MWAKASEGE: WITO WA KUOMBEA MBEGU ZA MABADILIKO YA MSIMU MPYA KATIKA MIFUMO YA ULIMWENGU --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
Mafundisho ya neno la Mungu kutoka kwa Mtumishi wake Mwalimu Christopher Mwakasege wa MANA MINISTRY --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
…
continue reading
Kaini kadiri ya Biblia ni jina la binadamu wa kwanza kuzaliwa na kuua. Kadiri ya kitabu cha Mwanzo (Biblia) katika Agano la Kale wana wawili wa kwanza wa Adamu na Hawa, majina yao Kaini na Habili, walitunza imani yao kwa Mungu wakamtolea sadaka. Habili aliitoa katika wanyama bora wa kundi lake, akiwa na hali ya unyenyekevu na imani, naye Mungu akam…
…
continue reading
Lilith ni jina la mwanamke ambaye katika hadithi fulani za Mesopotamia ya kale anatajwa kama mungu mke ambaye anahusika na dhoruba akazaa majini. Biblia inasimulia jinsi dunia ilivyoumbwa na mwanzo wa binadamu. Katika maandiko hayo, masimulizi ya uumbaji yana changamoto kuyafahamu sawasawa, hususani kitabu cha Mwanzo 1:26 na Mwanzo 2. Uumbaji wa mw…
…
continue reading
Mwanzo 1:1-25 BHN Hapo mwanzo, Mungu aliumba mbingu na dunia. Dunia ilikuwa bila umbo na tupu. Giza lilikuwa limefunika vilindi vya maji na roho ya Mungu ilikuwa ikitanda juu ya maji. Mungu akasema, “Mwanga uwe.” Mwanga ukawa. Mungu akauona mwanga kuwa ni mwema. Kisha Mungu akautenganisha mwanga na giza, mwanga akauita “Mchana” na giza akaliita “Us…
…
continue reading