HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI NCHINI TANZANIA
Manage episode 440534539 series 3592267
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakati kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
章节
1. Police Force Development and Updates (00:00:00)
2. Tanzania Police Force Challenges (00:26:04)
44集单集