Artwork

内容由Carlton提供。所有播客内容(包括剧集、图形和播客描述)均由 Carlton 或其播客平台合作伙伴直接上传和提供。如果您认为有人在未经您许可的情况下使用您的受版权保护的作品,您可以按照此处概述的流程进行操作https://zh.player.fm/legal
Player FM -播客应用
使用Player FM应用程序离线!

Prelude: Know what this Podcast is about

3:25
 
分享
 
Manage episode 344323955 series 3405885
内容由Carlton提供。所有播客内容(包括剧集、图形和播客描述)均由 Carlton 或其播客平台合作伙伴直接上传和提供。如果您认为有人在未经您许可的情况下使用您的受版权保护的作品,您可以按照此处概述的流程进行操作https://zh.player.fm/legal

Tupe maoni yako.

Kila mtu huwa na ndoto za mafanikio tunachotofautiana ni njia, na ukubwa wa ndoto hizo. Wapo wenye ndoto za kuwa mabilionea, na pia wapo wenye ndoto za kuweza kupata mlo wa leo tu. Na tofauti hizo naimani husababishwa na makuzi ya nyumbani, marafiki tunaojizungunga nao Pamoja na fursa tunazozipata au kuzaliwa nazo. Mimi binafsi naamini vitu hivyo vitatu vinaenda sambamba kuijenga ‘mindset’ ya mtu. Nchi nyingi za Africa hali duni ya manyumbani hupelekea mtu kujifunga kifikra na hii husababishwa sana na ukosefu wa elimu Pamoja na utandawazi. Marafiki pia hujenga mindset ya mtu kwani ukijizunguka na marafiki wenye mawazo makubwa na chanya huwenda kukafanya pia akili yako kupanuka na kuweza kuwa na mawazo makubwa na chanya ila pia ukiwa na marafiki wasiwo na mawazo makubwa, hata kama wewe unamawazo makubwa huwenda wakasababisha akili yako kudumaa na kuona kila unalofikiria ni hadithi tu, yaani mawazo yasiowezekana.

Nina Imani kwamba mtu kupata fursa sio bahati bali ni kujituma na kuitafuta hio fursa au kujiweka njia amazo fursa hizo hupita. Ila kutokana na ukosekanaji wa ‘exposure’ kwa watu wengi naamini ndo maana huwenda hatuzipati fursa hizo. Hii ndio mmoja ya sababu ya kuanzisha podcast hii Career talks na washkaji. Ambapo tutakuwa tunajaribu kukusogezea karibu washkaji walioweza kupata fursa tofauti tofauti ili waweze kutuvumbua ni jinsi gani wameweza kupata fursa hizo ili nasi tuweze kujifunza na kujiegesha katika njia za hizo fursa

Kujifunza sio darasani tu, ila hata kusikiliza story za washkaji huwenda ukajifunza kitu na ndio maana tumejaribu kuwaomba washkaji zetu bahadhi waweze kutuelezea uni experience zao ili sisi ambao bado hatujaanza chuo tuweze kupata picha ya kifwatacho mbele ila pia hatakama sio kitu kitakachofwata kwako kusikiliza experience ya mwingine huwenda ukajifunza kitu kutoka kwake na kikakusaidia maishani.

  continue reading

34集单集

Artwork
icon分享
 
Όλα τα επεισόδια

×
 
Loading …

欢迎使用Player FM

Player FM正在网上搜索高质量的播客,以便您现在享受。它是最好的播客应用程序,适用于安卓、iPhone和网络。注册以跨设备同步订阅。

快速参考指南